MichezoMilele FmSwahili

United yacharaza Watford mabao 4-2

Manchester United ikiwa ugenini katika dimba la Vicarage Road imefanikiwa kuichapa Watford 4-2 katika ushindi ambao awali ulionekana kuwa mgumu kwa United kabla ya kuanza kwa mchezo. Magoli ya United yamefungwa na Ashley Young akiingia nyavuni mara mbili huku Antony Martial akipachika goli la tatu na Jesse Lingard. Troy Deeney na Doucaure walindika magoli mawili ya Watford. Meneja wa Manchester United José Mourinho amesema ushindi huo utaongezaotisha kwa timu yake.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker