HabariMilele FmSwahili

Chuo kikuu cha Kenyatta chafugwa kwa muda usiojulikana

Chuo kikuu cha Jomo Kenyatta kimefungwa kwa muda usiojulikana. Wanafunzi walioko chuoni humo aidha wametakiwa kuondoka mchana wa leo. Hii ni kulingana na ujumbe uliotolewa kwa wanafunzi katika chuo hicho.

Show More

Related Articles