HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Athari za maradhi yanayotokana na msimu wa mvua 

Msimu wa mvua hupokelewa vyema haswa na wakulima kote nchini,  ikizingatiwa kuwa msimu ulioshuhudiwa hapo awali ni wa kiangazi uliodhuru  mifugo na mimea, hivyo kwa wengi mvua hii ni baraka.

Hata hivyo, msimu huu husababisha mkurupuko wa maradhi na maambukizo yanayodhuru binadamu.

Katika makala ya wiki hii ya Rai Mwilini, mwanahabari wetu Grace Kuria anaangazia jinsi ya kujikinga katika msimu huu.

Show More

Related Articles