HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

NASA watishia kumapisha Raila ikiwa rais Uhuru ataapishwa

Kwa mara nyingine mrengo wa NASA umetishia kumuapisha kinara wao Raila Odinga endapo Uhuru ataapishwa kuhudumu kama rais kwa muhula wa pili.

Viongozi wa NASA walisema haya walipokuwa katika mkutano wa hadhara katika uwanja wa Jacaranda hapa jijini Nairobi.

Show More

Related Articles