HabariMilele FmSwahili

Askofu Korir kuzikwa leo katika kanisa katoliki huko Eldoret

Askofu wa kanisa katoliki dayosisi ya Eldoret Cornelius Korir atazikwa leo. Korir atazikwa katika kanisa katoliki huko Eldoret kulingana na kanuni za kanisa hilo. Hapo jana viongozi tofauti waliungana na waumini wa kanisa hilo katika misa ya wafu na kutizama mwili wake. Hata hivyo wanasiasa watakaohudhuria  mazishi yake Korir wameonywa kujitenga na siasa.

Show More

Related Articles