HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Ari na Ukakamavu: Familia ya Takim ambayo imebobea katika mchezo wa Taekwondo

Kwenye makala ya Ari na Ukakamavu hii leo tunamwangazia Japheth Takim, jamaa ambaye alijitosa kwenye mchezo wa taekwondo akiwa na umri wa miaka 12 na kufikia sasa ameijumuisha familia yake kwenye mchezo huu.

Yeye na watoto wake saba na wake zake wawili kwa sasa ni magwiji kwenye mchezo huu na vilevile ule wa kickboxing.

Mwanahabari wetu Kimani Githuku alijiunga nao na kutuandalia taarifa ifuatayo kwenye ari na ukakamavu.

Show More

Related Articles