HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Kiwanda cha nyama ya punda Baringo huenda kikafungwa

Mamlaka ya kitaifa ya  mazingira NEMA imewapa  wasimamizi wa kichinjio cha punda katika kaunti ya Baringo makataa ya siku 21,  kusafisha uchafu  ulioko katika  kichinjio hicho ambao sasa umekuwa kero na chanzo cha masaibu ya wenyeji.
Wakaazi wa eneo la  Chemongoch sasa wamelalama kuwa uchafu huo sasa unaathiri afya yao.

Show More

Related Articles