HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Shahidi tatanishi Dennis Ngegi Muigai akamatwa

Shahidi tatanishi aliyedai kushuhudia ajali mbili tajika ikiwemo ajali iliyopelekea kifo cha Gavana wa Nyeri Wahome Gakuru, Dennis Ngengi Muigai amekamatwa na polisi.
Kulingana na taarifa kutoka kitengo cha upelelezi wa jinai, Muigai alikamatwa usiku wa kuamkia leo na kufikishwa katika kituo cha polisi cha Muthaiga hapa jijini Nairobi kufanyiwa uchunguzi zaidi.
Haya yanajiri huku Naibu Gavana wa Nyeri akitarajiwa kuapishwa kuchukuwa wadhifa wa ugavana jumatatu wiki ijayo.

Show More

Related Articles