HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Gavana Sonko ashuhudia kuapishwa kwa mawaziri wake 10

Gavana wa Nairobi Mike Mbuvi Sonko, ameshuhudia kuapishwa kwa mawaziri wake kumi alasiri ya leo.

Aidha kwenye hotuba yake, Gavana Sonko amesisitiza kuwa ana imani na kikosi chake cha mawaziri, na kuwahakikishia wenyeji wa jiji kuwa kumi hao watasaidia kufanikisha  ajenda yake ya kubadili sura ya Nairobi.

Huku mawaziri hao wakiapishwa  Emma Mukuhi Muthoni ambaye ni waziri wa mazingira na maji, waziri wa uchukuzi Mohammed Ahmed Dagane, na pia waziri wa ardhi na uratibu wa jiji, ni kati ya mawaziri watakaokuwa na kibarua cha ziada mno .

Show More

Related Articles