HabariMilele FmSwahili

Serikali yaagiza vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu kusitisha shughli ya kufungua mabewa zaidi

Serikali imeagiza vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu nchini kusitisha shuguli za kufungua mabewa zaidi. Waziri wa elimu Dr. Fred Matiang’i anasema ufunguzi wa mabewa zaidi unaathiri hadhi ya masomo yanayotolewa kwa wanafunzi. Akiongea kwenye hafla ya kufuzu mahafala wa taasisi ya Kenya Institute of Managements(KIM) hapa Nairobi. Waziri amezitaka taasisi hizo kuangazia utoaji wa  elimu ya kisasa inayowanufaisha wananfunzi wote. Ameelezea kujitolea kwa serikali kuinua viwango vya elimu nchini.

Show More

Related Articles