HabariMilele FmSwahili

Watu wawili wafariki na wengine kadhaa kujeruhiwa kwenye ajali mjini Eldoret

Watu wawili wamefariki kufuatia ajali iliyohusisha matatu ya abiria na gari ndogo mjini Eldoret. Waliofariki kwenye ajali hiyo ni dereva wa matatu na abiria mmoja. Watu wengine kadhaa waliojeruhiwa wamekimbizwa katika hospitali ya rufaa ya Moi.

Show More

Related Articles