HabariMilele FmSwahili

Hafla ya kumwapisha gavana mpya wa Nyeri kufanyika baada ya mazishi ya Dkt Gakuru

Hafla ya kumwapisha gavana mpya wa Nyeri sasa itafanyika baada ya mazishi ya mwendazake Dkt Wahome Gakuru. Hii ni baada ya hafla hiyo kuahirishwa kutoka jana. Hata hivyo naibu gavana Mutahi Kahiga ameomba hafla hiyo kuahirishwa. Wakili wa kaunti ya Nyeri David Mugo amepinga madai kuwa hatua hiyo imechochewa na sababu za kisiasa.

Show More

Related Articles