HabariPilipili FmPilipili FM News

Mahakama Ya Upeo Kuskiza Kesi Kuhusiana Na Uchaguzi Wa Tarehe 26 Oktoba

 

Mahakama ya upeo leo inatarajiwa kusikiza kesi iliyowasilishwa na mwanaharakati Okiya Omtata akitaka kufutilia mbali uchaguzi wa Oktoba 26. Katika kesi yake Omtata anasema uchaguzi huo haukuzingatia sheria kwani wagombea hawakupitia mchujo kama ilivyotakiwa.

Kwa upande wake mwenyekiti wa tume huru ya Uchaguzi IEBC  Wafula Chebukati ametaka mahakama ya upeo kuitupilia mbali kesi hiyo kwa msingi kuwa uchaguzi wa marudio uliandaliwa kwa mujibu wa sheria.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Show More

Related Articles