People Daily

Muungano Wa Nasa Wa Laumiwa Na Serikali

Msemaji wa serikali Erick Kiraithe ameulaumu muungano wa NASA kwa kuendeleza siasa zinazolenga kuleta mgawanyiko miongoni mwa wananchi himu nchinikenya.

Kiraithe amesema hatua ya kususia baadhi ya bidhaa inayoshinikizwa na NASA, ni wazi kwamba inalenga kuzorotesha uchumi wa taifa hili na hivyo kuhujumu juhudi za serikali.

Msemaji wa serikali amewataka wakenya kuyapuuzilia mbali matakwa yanayotolewa na muungano wa NASA na badala yake kuzingatia maswala muhimu ya kujenga taifa.

Show More

Related Articles