HabariPilipili FmPilipili FM News

Nasa Kuendeleza Maandamano Yake Leo

Muungano wa NASA unatarajiwa kuendeleza maandamano yake leo hii katika juhudi za kushinikiza mageuzi ya kufanikisha uchaguzi mpya wa urais.

Kupitia barua iliyowasilishwa kwa kaunti ya Nairobi na wakili wa NASA Edwin Sifuna ,Muungano huo umemwarifu kamanda wa polisi katika kaunti hiyo Japhet Koome nia yao ya kuandaa maandamano hayo.

Wanasema maandamano ya leo yatakuwa ya amani na kwamba yatafanyika katika kaunti ya Nairobi

Show More

Related Articles