HabariMilele FmSwahili

Dereva wa mwendazake Dkt Gakuru ni miongoni mwa wanaochunguzwa kubaini chanzo cha kifo cha Dkt Gakuru

Dereva wa aliyekuwa gavana wa Nyeri Dkt Wahome Gakuru ni miongoni mwa watu wanaochunguzwa kufahamu kilichosababisha kifo cha Dkt Gakuru .Maafisa wa idara ya jinai na kitengo cha trafiki wanashirikiana kuendeleza uchunguzi huo ambapo pia wanatumia kampuni ya kutengezea magari ya Dt Dobie , ile ya magurudumu ya pireli pamoja na wizara ya uchukuzi kufahamu kiini cha ajali hiyo. Uchunguzi huu unaanza huku maandalizi ya mazishi ya mwendazake yakishika kasi Nyeri .

Show More

Related Articles