HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mtahiniwa afanyia KCSE rumande kwa kuhusishwa na wizi,Kajiado

Mwanafunzi mmoja mwenye umri wa miaka 17 amelazimika kushiriki mtihani wake wa kitaifa wa kcse katika kituo cha polisi cha Kitengela.
Mwanafunzi huyo anayesomea shule ya upili ya Kitengela alikamatwa siku tatu kabla ya mtihani huo kuanza kwa makosa ya wizi wa mabavu.

Show More

Related Articles