HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Raila amewashtumu mabalozi wa Ulaya nchini kwa kupendelea Jubilee

Kinara wa NASA Raila Odinga ametaka marekani na ulimwengu mzima kujibidiisha katika kusaidia Kenya kutatua mgogoro uliopo, kufuatia uchaguzi anaosema uliibua maswali mengi kuliko majibu.
Odinga alikuwa akizungumza katika taasisi ya masomo ya kimataifa jijini Washington DC.
Kando na hayo, maaskofu wa kanisa katoliki wanapania kupanga mkutano wa mazungumzo ya kitaifa yanayolenga kusaka muafaka kuhusiana na utata wa kisiasa ulio nchini.

Show More

Related Articles