HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Msichana wa miaka 19 amuua mpenziwe kwa kisu,Murang’a

Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 19 aliuawa na wenyeji wa eneo bunge la Kangema kaunti ya Murang’a , baada ya kumdunga kisu na kumuua mpenziwe , kutokana na mzozo wa deni la simu la shilingi mia mbili.
Inasemekana kuwa barobaro huyo Keneddy Murimi , alikosana na Salome Wambui , baada ya Murimi kumpokonya simu aliyokuwa amemuuzia Wambui , aliyesalia na deni hilo.

Show More

Related Articles