HabariMilele FmSwahili

Muungano wa sekta za kibinafsi yaeleza athari za kususia baadhi ya vifaa kwa uchumi wa Kenya

Muungano wa sekta za kibinfasi KEPSA unasema maelfu ya wakenya wameathirika kutokana na hatua ya upinzani kuwahimiza wafuasi wake kususia bidhaa za baadhi ya kampuni.KEPSA inaonya huenda uchumi ukaathirika wafanyikazi wanaofanya katika kampuni hizo wakipoteza ajira.

Show More

Related Articles