HabariMilele FmSwahili

Raila Odinga awahutubia watu mashuhuri Washington DC, Marekani

Kinara wa NASA Raila Odinga amewahutubia watu mashuhuri katika kituo cha kuangazia mipango ya kidemokrasia huko Marekani.Raila ametumia fursa hiyo kuisuta serikali ya Jubilee akisema inalenga kuhujumu demokrasia ambayo taifa hili imepata. Ameshtumu utawala huo kwa kulenga kuhujumu utendakazi wa idara ya mahakama na tume ya uchaguzi na mipaka.
Raila amesisitiza haja ya taifa hili kuandaa upya uchaguzi ambao utakua huru na wazi.Amesuta IEBC kwa kutumiwa vibaya kuhujumu haki ya wakenya.

Show More

Related Articles