HabariMilele FmSwahili

Wavuvi 7 wa Kenya waachiliwa huru Uganda, wengine zaidi kuachiliwa baadaye

Wavuvi saba miongoni mwa waliokamatwa katika ziwa Victoria na maafisa wa usalama kuto Uganda wameachiliwa huru. Akidhibitisha hayo waziri wa mambo ya nje Amina Mohamed amesema wavuvi wengine 9 wanatarajiwa kuachiliwa na kurejea nchini leo. Amina amesema juhudi zinaendelea kupata suluhu la kudumu kwa swala hilo.

Show More

Related Articles