HabariMilele FmSwahili

Bunge la kaunti ya Siaya laidhinisha hoja ya kubuniwa mabunge ya wananchi

Bunge la kaunti ya Siaya limeidhinisha hoja ya kubuniwa mabunge ya wananchi. Spika wa bunge hilo George Okoli anasema wawakilishi wadi wamejadili na kupitisha kwa pamoja hoja hiyo walioitaja kama ya manufaa kwa taifa hili. Akiongea baada ya kuongoza vikao vya leo asubuhi, Okoli amesema sasa wanasubiri mwelekeo wa viongozi wao kuhusiana na hoja hiyo.

Show More

Related Articles