HabariMilele FmSwahili

Dkt Mutahi Kahiga kuapishwa rasmi kesho kama gavana wa Nyeri

Naibu gavana wa Nyeri Dkt Mutahi Kahiga ataapishwa rasmi hapo kesho kuhudumu kama gavana wa Nyeri baada ya kifo cha gavana Patrick Gakuru. Haya ni kwa mujibu wa mshauri wa masuala ya sheria wa kaunti hiyo Mwangi Mugo. Jaji Jairus gaa ataaongoza
Marehemu Gakuru atazikwa tarehe 18 mwezi huu nyumbani kwao katika eneo la Kirichu kaunti ya Nyeri.

Show More

Related Articles