BiasharaMilele FmSwahili

Andrew Dixon ateuliwa ofisa mkuu wa utendakazi wa maduka ya jumla ya Uchumi

Aliyekuwa ofisa mkuu wa mauzo katika maduka ya jumla ya Nakumatt Andrew Dixon ameteuliwa ofisa mkuu wa utendakazi wa maduka ya jumla ya Uchumi. Hatua hii inalenga kukwamua Uchumi ambayo imekumbwa na msusuko wa kibiashara kwa muda mrefu. Dixon alihudumu katika Nakumatt hadi mwezi Oktoba mwaka huu.

Show More

Related Articles