HabariMilele FmSwahili

Sunkuli aelekea mahakamani kupinga uchaguzi wa Konchela kama mbunge wa Kilgoris

Aliyekuwa mgombea ubunge Kilgoris Julius Sunkuli ameelekea katika mahakama kuu ya Kericho kupinga ushindi wa Gideon Konchela. Kupitia wakili wake Ombati Omwanza, Sunkuli anataka vifaa vya Kiems kuwasilishwa mahakamani akidai uchaguzi ulikuwa na hitilafu nyingi. Mahakama itatoa uamuzi kuhusu ombi la Sunkuli ijumaa wiki hii huku kesi hiyo ikiratibiwa kuskizwa mnamo tarehe 15,16 na 17 Januari mwaka
ujao.

Show More

Related Articles