HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wakaazi wapata pigo la kifo cha gavana wa pili kufariki ofisini

Kifo cha gavana wa Nyeri Dr Wahome Gakuru sio siri kimepokelewa na wengi kwa mshtuko hususan ingizingatiwa sasa amekuwa gavana wa pili kufariki katika kaunti hii, na vile vile kwa sababu kifo chake kimewadia takriban miezi miwili tu baada yake kuapishwa.
Wengi wanamtambua gavana Gakuru kutoka na hekima yake ya kupigawa mfano katika masuala ya kifedha, ijapokuwa pia sio mgeni sana katika siasa za Kenya.
Katika taarifa ifuatayo, mwanahabari wetu Kiama Kariuki anaangazia maisha ya marehemu Gakuru ndani na hata nje ya siasa.

Show More

Related Articles