HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mahakama kutoa mpangilio wa kesi ya kupinga uchaguzi wa Rais

Mahakama ya upeo inatarajiwa kutoa mweleko wa jinsi kesi zilizowasilishwa mbele yake zitakavyoanza kusikizwa na kutatuliwa kabla ya kutamatika kwa makataa ya siku 14 kama inavyohitajika kikatiba.
Kukamilika kwa makataa ya kuwasilishwa kwa kesi hizo sasa kumefungua ukurasa wa majaji wa mahakama ya upeo kuandaa kikao maalum kutathmini mwelekeo utakaochukuliwa iwapo kuna kesi ambazo zitatupwa nje au zote zitasikilizwa hadi tamati.

Show More

Related Articles