HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Vimetajwa kuchangia kifo cha Gavana Wahome kwenye ajali leo

Ajali nyingi humu nchini hufanyika kutokana na visa vya uendeshaji wa magari kwa kasi,madereva wasiofuata sheria za barabara, magari yasiyofaa kuwa barabarani miongoni mwa sababu nyingine nyingi.
Lakini hii leo ajali iliyofanyika kwenye barabara ya Thika -Nairobi na kusababisha kifo cha Gavana wa Nyeri ilisababishwa na vizuizi vilivyowekwa kando kando ya barabara ambavyo lengo lake maalum ni kuzuia magari kuondoka kwenye barabara haswa katika maeneo yenye miinuka au iliyopinda na kusababisha ajali.
Kimani Githuku anatuarifu mengi kuhusiana na vizuzi hivyo ambavyo vimegeuka kuwa uvuli wa mauti.

Show More

Related Articles