HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Rais Uhuru Kenyatta, Ruto na Rais mstaafu Kibaki wamwomboleza

Risala za rambirambi zinazidi kutolewa kufuatia kifo cha gavana wa Nyeri dakta Wahome Gakuru.
Rais Uhuru Kenyatta, rais mstaafu Mwai Kibaki, baraza la magavana na viongozi wa upinzani walimwomboleza mwendazake na kuombea familia yake faraja wakati huu wa dhiki na majonzi.

Show More

Related Articles