BiasharaPilipili FmPilipili FM News

Jiko la Ethanol La Zinduliwa

Kampuni ya green Development kutoka nchini Uingereza kwa ushirikiano na kampuni ya Samsung imezindua mradi wa Jiko la kisasa la kupikia linalolenga kupunguza uchafuzi wa mazingira ambao huletwa na utumizi mbaya wa  makaa humu nchin.

Mradi huo umezinduliwa rasmi hii leo ya kaunti ya Mombasa na unalenga kuwafikia takriban watu elfu 60 ndani ya kaunti hiyo kwa kipindi cha miezi 9 huku kampuni hiyo ikitarajiwa kutoa majiko elfu 12 bure kwa wakaazi wa Mombasa.

Mkurugenzi wa kampuni hiyo Havard Norstebo amesema jiko hilo ambalo linatumia ETHANOL badala ya makaa au mafuta taa limezinduliwa kupunguza uhariibifu wa misitu

Show More

Related Articles