HabariMilele FmSwahili

Wasomi wa jamii ya Wamaasai kaunti ya Laikipia watishia kuishtaki serikali

Wasomi wa jamii ya Wamaasai kaunti ya Laikipia sasa wanatishia kuishtaki serikali kwa kuwauwa mifugo wao zaidi ya 100 juma jana. Kundi hilo limeitaka serikali kuwafidia wafugaji waliopoteza mifugo wao. Wameituhumu idara ya polisi kwa kuwahadaa wakenya kuhusu mauaji hayo

Wakati huo baraza la wazee kutoka Riftvalley likiongozwa na msemaji wao Gilbert Kabage limeelaani vikali mauaji hayo ya mifugo. Wanadai huenda hii ni njama ya baadhi ya watu kunyakua ardhi za wenyewe kupitia njia fiche

Show More

Related Articles