HabariMilele FmSwahili

Baraza la wazee wa Agikuyu kuandaa  tambiko maalum kutakasa kaunti ya Nyeri

Baraza la wazee wa Agikuyu linalofahamika kama KIAMA KIA litaandaa maombi na tambiko maalum kutakasa kaunti ya Nyeri. Ibada hiyo inaandaliwa baada ya kifo cha gavana Dr Wahome Gakuru. Wakiongozwa na mwenyekiti wao Kariuki Kathue wanachama wa baraza hilo wanasema kaunti ya Nyeri inahitaji kutakaswa haswa baada ya kushuhudia kifo cha gavana wa kwanza mwezi machi mwaka huu na sasa kifo cha Dr Gakuru

Show More

Related Articles