HabariMilele FmSwahili

Dr. Kahiga kuhudumu kama Gavana wa Nyeri kwa muda uliosalia

Naibu gavana wa Nyeri Dr Mutahi Kahiga sasa atahudumu kama gavana kwa muda uliosalia kufuatia kifo cha Dr Wahome Gakuru. Tayari baraza la magavana limepokea ushauri wa mabadiliko hayo.

Show More

Related Articles