HabariMilele FmPeople DailySwahili

Naibu rais aomboleza kifo cha Gavana wa Nyeri Wahome Gakuru

Naibu rais William Ruto amemuomboleza gavana wa Nyeri Wahome Gakuru akisema ni pigo kubwa kwa taifa na hasaa kwa wenyeji wa Nyeri. Akizungumza katika hifadhi ya maiti ya Lee, Ruto amewaombea faraja jamaa, familia na watu wa Nyeri wa kumpoteza kiongozi alyekuwa na maono makubwa ya maendeleo kaunti ya Nyeri. Aidha Ruto amemteuwa waziri wa mawasiliano Joe Mucheru kuhusika katika migangilio ya mazishi ya Gakuru

Show More

Related Articles