HabariK24 TvSwahiliVideos

Jamaa anayetuhumiwa kumgonga kwa gari askari ashtakiwa

Mwanaume moja aliyenaswa kwenye kamera akimgonga mtu anayeaminika kuwa afisa wa polisi karibu na eneo la Viwandani jijini Nairobi amefikishwa mahakamani hii leo kujibu mashtaka yanayomkabili.
Geofrey Sungura Wekesa, ambaye amekuwa kizuizini kwa muda wa siku tatu alifikishwa mbele ya hakimu Francis Andayi katika mahakama ya milimani kwa kosa la kujaribu kuua huku suala la sakata ya kimapenzi likiibuka.

Show More

Related Articles