HabariPilipili FmPilipili FM News

Kundi la Cost Opinion leaders la Kashifu wito Wa Joho Na Kingi

Kundi la viongozi linalojiita coast opinion leaders limepinga vikali wito wa baadhi ya viongozi eneo hili kutaka pwani ijitenge.

Viongozi hao wamewasuta gavana wa kilifi amason kingi na mwenzake wa Mombasa Hassan Ali Joho kwa Kauli walioitoa juma lililopita kuwahimiza wapwani kuunga mkono wito huo.

Kundi hilo limewataja viongozi hao kama wabinafsi wasio ajenda ya kuwanufaisha wapwani.

Show More

Related Articles