HabariMilele FmSwahili

Seneta Cherargei apendekeza mageuzi ya sheria za bunge

Seneta wa kaunti ya Nandi Kiprotich Cherargei amependekeza mageuzi ya sheria za bunge  akidai idadi kubwa ya wabunge wa mrengo wa upinzani wamekuwa wakipokea mishahara yao bila kutekeleza majukumu yao kikatiba. Akiongea mjini Eldoret Cherargei amesema sharti sheria za bunge zibadilishwe ili kuwalazimu wabunge kushiriki vikao vya bunge kama inavyohitajika.

Show More

Related Articles