HabariPilipili FmPilipili FM News

Muda Wa Kuwasilisha Kesi Ya Kupinga Ushindi Wa Rais Uhuru Una Kamilika Leo

Kinara mkuu wa NASA Raila Odinga ana mda wa hadi saa sita usiku wa leo kuwasilisha kesi  katika mahakama ya upeo, iwapo anataka kupinga ushindi wa rais Kenyatta kwenye uchaguzi wa oktoba 26.

katiba inatoa mda wa siku 7 pekee kuwasilisha kesi yoyote inayopinga matokeo ya uchaguzi baada ya mshindi wa uchaguzi huo kutangazwa.

Iwapo mda huo utakamilika bila kesi yoyote kuwasilishwa mahakamani, basi hiyo inamaanisha rais Kenyatta atakuwa huru kuapishwa rasmi kama mshindi wa uchaguzi wa marudio.

Show More

Related Articles