HabariMilele FmSwahili

Waadhiri wa chuo kikuu TUK watangaza kuungana na wenzao wanaogoma

Wahadhiri katika chuo kikuu anuai cha Kenya TUK wametangaza kuungana na wenzao katika vyuo vikuu vya umma wanaogoma. Viongozi wa muungano wa wahadhiri hao wamesema sharti serikali izingatie wito wao wa nyongeza ya mishahara na marupurupu. Kauli yake imeungwa mkono na katibu mkuu wa muungano wa wahadhiri UASU Constatine Wesonga ambaye pia  ameyataka mabaraza ya vyuo hivyo kutekeleza maafikiano hayo.

Show More

Related Articles