HabariMilele FmSwahili

Kampeni za kususia huduma za Safaricom huenda zikaadhiri wakenya wengi

Maelfu ya wakenya huenda watapoteza kazi na mapato ya Safaricom yakashuka iwapo kampeni ya NASA ya kususia bidhaa za kampuni hiyo itaendelea. Wahudumu wa Safaricom wanasema wamegadhabishwa na muungano wa NASA ulioitisha wafuasi wake kususia bidhaa zake wakitaka agizo hilo kusitishwa. Wakiongozwa na mkuu wa muugano wa wahudumu hao Jared Ouko ambaye amehusisha kususia huko kama kuliochochea kisiasa, amewataka wakenya kutokubali kutumiwa na wanasiasa kuzorotesha uchumi wa taifa.

Show More

Related Articles