HabariMilele FmSwahili

Mtihani wa kidato cha nne KCSE waanza rasmi leo

Mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne KCSE unaanza rasmi asubuhi hii jumla ya watahiniwa zaidi 615 elfu wakikalia somo la hesabu. Baadaye wanafunzi hao wameratibiwa kufanya somo la kemia kuanzia saa tano. Akiongoza hafla ya uzinduzi wa mtihani huo mjini Mombasa katibu wa wizara ya elimu Dkt Belio Kipsang amewahakikishia watahiniwa wote kuwa watafanya mtihani katika mazingira bora.

Show More

Related Articles