HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Hatua ya kususia bidhaa za kampuni tatu yakosolewa Baringo

Hisia mseto zinaendelea kutolewa na viongozi mbalimbali humu nchini kuhusiana  na madai ya NASA kuwa wafuasi wao wanafaa kususia bidhaa za kampuni zinazohusishwa na chama cha Jubilee.

Aidha baadhi ya viongozi wa bonde la ufa akiwemo Sammy Seroney ambaye ni mbunge maalum kupitia chama cha Wiper amezikosoa mbinu za NASA na kumtaka kinara Raila Odinga kukubali kushindwa ili nchi isonge mbele.

Show More

Related Articles