HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

NASA yasema kauli ya kususia bidhaa za kampuni tatu zimezaa matunda

Baadhi ya viongozi wa NASA wamesisitiza kwamba mwondoko wa kususia bidhaa utandelea.
Viongozi hao wanasema kwa muda wa wiki mbili zijazo watatoa mwelekeo zaidi kuhusiana na mikakati ya bunge la wananchi katika azma ya kuelezea ghadhabu zao kwa serikali ya Jubilee.
Haya yakijiri huku kinara Raila Odinga akipaniwa kuelekea  Marekani kwenye mikutano katika bunge la congress nchini humo.

Show More

Related Articles