HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Naibu wa rais ahudhuria ibada katika kanisa la Sacred Heart Eldoret

Naibu wa Rais William Ruto leo aliungana na waumini wa kanisa katoliki la Sacred Heart Cathedral mjini Eldoret kwa ibada ya ukumbusho wa aliyekuwa Askofu Mkuu wa kanisa katoliki jimbo la Eldoret Cornelius Korir.
Marehemu Askofu Korir alizirai nyumbani kwake wiki iliyopita mjini Eldoret kutokana na msukumo wa damu na pia kuugua ugonjwa wa kisukari.

Show More

Related Articles