HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mwanafunzi wa Migori Complex afariki saa chache kabla ya mtihani wa KCSE

Mwanafunzi mmoja kutoka shule ya upili ya Migori Complex kaunti ya Migori aliyetarajiwa kufanya mtihani wa kitaifa wa KCSE mwaka huu ameaga dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Aidha wanafunzi nchini wako tayari kwa mtihani huo utakaoanza rasmi jumanne hii na kukamilika tarehe 30 mwezi huu.

Show More

Related Articles