HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mchezaji raga auawa kwa kudungwa kisu na mpenziwe

Maafisa wa polisi mjini Nakuru wanamtafuta mwanamke anayedaiwa kumuuwa mchezaji wa timu ya kitaifa ya raga ya wachezaji 15 kila upande Mike Okombe kwa kumdunga kisu  jumamosi usiku katika eneo la kiamunyi mjini Nakuru.

Maryanne Mumbi, mpenziwe Okombe anasemekana kuingia mafichoni baada ya kutekeleza kitendo hicho.

Show More

Related Articles