HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Askofu Justin Welby aongoza maadhimisho All Saints Cathedral

Kwa mara ya kwanza tangu uchaguzi wa marudio wa Oktoba ishirini na sita rais mteule Uhuru Kenyatta na kinara wa NASA Raila Odinga wamekutana na kusalimiana katika kanisa la All Saints Cathedral hapa jijini Nairobi.

Wawili hao walikutana katika ibada maalum ya maombi ya kuadhimisha miaka mia moja tangu kanisa la kiangilikana kuanzishwa humu nchini.

Wito wa uwiano na utangamano ulitawala ibada hiyo kama anavyotuarifu Gordon Odhiambo .

Show More

Related Articles