HabariK24 TvNEWSSwahiliVideos

Waathiriwa wa ajali ya Helikopta wazikwa, Siaya na Baringo

Jamaa wawili waliopoteza maisha katika ajali ya ndege aina helikopta katika ziwa la Nakuru tarehe 21 mwezi uliopita wamezikwa leo katika kaunti  za Siaya na Baringo.
Rubani Apollo Malowa alizikwa nyumbani kwao Bondo  huku  mwendazake  Anthony Kipyegon  aliyekuwa mwandishi wa  seneta wa Nakuru Susana Kihika akizikwa katika  Eldama Ravine.

Show More

Related Articles