HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wanafunzi walalama vyuoni huku wakufunzi wakisusia kufunza

Huku hayo yakijiri, mgomo wa wahadhiri nchini umeingia katika siku yake ya tatu hii leo, wanafunzi wa vyuo kikuu wanaendelea kuwa na wasiwasi kwani tangu mwanzoni mwa mwaka huu, wahadhiri wameandaa migomo mara tatu , na kusababisha wanafunzi hawa kusalia nyumbani wasijue la kufanya.
Haya yanajiri baada ya wahadhiri kutoka chuo kikuu cha JKUAT pamoja na vyuo vingine kama vile Egerton kutangaza rasmi hii leo kuwa hawatarejea kazini endapo mkataba wao wa 2013-2017 hautatekelezwa.

Show More

Related Articles